Wednesday 10 April 2013

ZANZIBAR KUPATA UMEME WA UHAKIKA !!!


Wakaazi wa Zanzibar wamo kwenye furaha kuondokana na tatizo la umeme.
Tatizo la umeme Zanzibar linatarajiwa kumalizika
Tatizo la umeme Zanzibar linatarajiwa kumalizika
Baada ya zaidi ya miaka mitatu ya kero ya ukosefu wa nishati ya umeme katika kisiwa cha Unguja - makao makuu ya serikali ya Zanzibar na harakati nyingi za kiuchumi, wakaazi wa kisiwa hicho leo wamo katika furaha ya kuondokana na tatizo la umeme. mwandishi 
wetu alipo fanya mahojiano na watu wengi wao walibenza ,walisema ni nyimbo za wanasiasa na wamezoeya kuwadanganya wananchi,na wengine huuliza hao wanao wauziya wao wenyewao wana matatizo hayo hayo kila siku, umeme wa mgao,sisi tunaiomba serekali ituletee umeme wa uhakika na wengine wamefika kuwapa mifano wa aina mbali mbali za energie kwa mfano mill energy umeme huo huwa unahitaji upepe tu ,na zanzibar ni kisiwa kilicho zungukwa na habari ,  
 


No comments:

Post a Comment