Thursday 4 April 2013

MTOTO ALIYVOZIKWA AKIWA HAI !


 

OOH God! Mkasa wa baba anayedaiwa kumuua mwanaye wa miaka 3, Debora Riziki kwa kumzika akiwa hai kutokana na mgogoro wa kindoa na mkewe, unaendelea kuzua mapya kufuatia mama mzazi wa mtoto huyo kusimulia A-Z ya kilichotokea, beltelraas.blogspot.nl  lina habari ya kipekee ya kukutoa machozi.

Akisimulia kwa majonzi mazito kwenye kijiji lilipotokea tukio hilo hivi karibuni, Ibula Kata ya Kiwira, wilayani Rungwe, mama mzazi wa Marehemu Debora, Esther Mwambenja alidai kuwa kabla ya tukio hilo kulikuwa na viashiria kwa mumewe kutimiza ukatili huo.... 

No comments:

Post a Comment