Monday 22 April 2013

TANGAZO LA MUHADHRA....MUHADHARA...MUHADHARA.!!!



 Uongozi wa Mskiti wa Sharif Aboud uliopo Vikokotoni unawarifu waumini wote kiislam kuwa siku ya Ijumaa tarehe 26/4/2013 kutakuwa na muhadhara mkubwa hapo.

MADA...(Muungano katika Uislam..)
Sheikh......Maalim Shekhe Ali.
MUDA.......Baada ya Maghrib
PAHALA.....Mskiti wa Sharif Aboud Vikokotoni Zanzibar.

Mada imewekwa hiyo kwa kutokana siku hiyo ndio siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa hiyo iko haja ya waumini kufahamu uhalali na uharamu wa miungano na miungano ipi inatakiwa na ifungwe kwa mujibu wa uislam.

SHIME WAUMINI TUJITOKEZE KWA WINGI TUJE KUPATA ELIMU.

No comments:

Post a Comment