Friday 29 March 2013


                           Mtuhumiwa wa Mauaji ya Padri Evalist Mush amekamatwa Zanzibar !

 Mtu anaye sadikiwa ndiye Muaji ya Padri Evalist Mushi wa kanisa katoliki nchini Zanzibbar ,amekamatwa
    mchana huu maeneo ya kariakoo,
Jeshi la Polisi limethiditisha kwa kukamatwa kijana huyo mwenye umri wa wastani wa 30 -40,na kwenda    
   nae kituoni kwa mahojiano zaidi ,
Padri Evalist Mush aliuawa kwa kupigwa risasi mwenzi uliopita ,wakati akiwa kwenye gari lake kuelekeya      
  kanisani kwa shughuliya ya ibada ya kikanisa .
 
    kuwa nami !!!!!!


No comments:

Post a Comment