Hakika kila mmoja wetu ataonja mauti, Bi Fatma Binti Baraka (Bi Kidude) amefariki duani mchana huu kwa mujibu mwa taarifa kutoka na kuthibitishwa ndani ya familia yake Bw. Baraka amesema kwamba Bi Kidude hatunaye tena duniani. Mwenyeenzi Mungu amlaze mahali pema peponi inshallah
No comments:
Post a Comment